Kumbukumbu la Torati 1:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Lakini hamkukubali kukwea huko, mliasi neno la BWANA, Mungu wenu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 “Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 “Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 “Lakini nyinyi hamkufuata agizo la Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa kukataa kwenda katika nchi hiyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini hamkuwa tayari kukwea, mkaasi dhidi ya amri ya bwana Mwenyezi Mungu wenu. Tazama sura |