Kumbukumbu la Torati 1:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Neno hili likanipendeza sana; nikatwaa watu kumi na wawili, mtu mmoja wa kila kabila. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Jambo hilo lilionekana kuwa jema kwangu, nikawateua watu kumi na wawili, mtu mmoja kutoka katika kila kabila. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wazo hilo lilionekana zuri kwangu; kwa hiyo niliwachagua watu wenu kumi na wawili, mwanaume mmoja kutoka kila kabila. Tazama sura |