Kumbukumbu la Torati 1:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Nami nikawaambia, Mmefika nchi ya vilima ya Waamori, anayotupa sisi BWANA, Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 mimi niliwaambieni: ‘Sasa mmefika katika nchi ya milima ya Waamori ambayo Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, ametupatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, anatupatia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Kisha niliwaambia, “Mmefika katika nchi ya vilima ya Waamori, ambayo bwana Mwenyezi Mungu wetu anatupa. Tazama sura |