Kumbukumbu la Torati 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Nanyi mkanijibu, mkaniambia, Jambo ulilolisema ni jema la kufanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Nyinyi mlikubali, mkanijibu hivi: ‘Jambo ulilosema ni la busara’. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Mlinijibu, “Shauri ulilolitoa ni zuri.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Mlinijibu, “Shauri ulilolitoa ni zuri.” Tazama sura |