Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Kumbukumbu la Torati 1:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

13 Jitwalieni watu wenye akili na fahamu, watu wanaojulikana, kwa kadiri ya makabila yenu, nami nitawafanya wawe vichwa juu yenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Chagueni kutoka katika kila kabila watu wenye hekima, busara na ujuzi ili niwateue wawe viongozi wenu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Chagueni baadhi ya watu wenye hekima, wenye ufahamu na wanaoheshimika kutoka kila kabila lenu, nami nitawaweka juu yenu.”

Tazama sura Nakili

Kumbukumbu la Torati 1:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

Basi, Farao na ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi ya Misri.

Zaidi ya hayo utajipatia katika watu hawa watu walio na uwezo, wenye kumcha Mungu, watu wa kweli, wenye kuchukia mapato ya udhalimu; ukawaweka juu yao, wawe wakuu wa maelfu, na wakuu wa mamia, na wakuu wa hamsini hamsini, na wakuu wa kumi kumi;

Nitachukuaje peke yangu mimi mwenyewe udhia wenu, na mzigo wenu, na ugomvi wenu?

Nanyi mkanijibu, mkaniambia, Jambo ulilolisema ni jema la kufanya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo