Kumbukumbu la Torati 1:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Nitachukuaje peke yangu mimi mwenyewe udhia wenu, na mzigo wenu, na ugomvi wenu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Lakini mimi peke yangu nitawezaje kuchukua jukumu hilo zito la kusuluhisha ugomvi wenu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Lakini mimi nitawezaje kubeba matatizo yenu, na mizigo yenu, na magomvi yenu peke yangu? Tazama sura |