Isaya 8:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Nami nitamngojea BWANA, awafichaye uso wake nyumba ya Yakobo, nami nitamtazamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Nitamngojea Mwenyezi-Mungu ambaye amejificha mbali na wazawa wa Yakobo; nitamtumainia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Nitamngojea Mwenyezi Mungu, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Nitamngojea bwana, ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. Nitaliweka tumaini langu kwake. Tazama sura |