Isaya 8:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Msiseme, Ni njama, kuhusu mambo yote ambayo watu hawa watasema, Ni njama; msihofu kwa hofu yao, wala msiogope. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Usijumuike nao katika njama zao, wala usiogope yale wanayoyaogopa wala kuwa na hofu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 “Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 “Usiite fitina kila kitu ambacho watu hawa hukiita fitina, usiogope kile wanachokiogopa, wala usikihofu. Tazama sura |