Isaya 7:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Katika siku hiyo itakuwa ya kwamba mtu atalisha ng'ombe jike mchanga na kondoo wawili wa kike; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Wakati huo, mtu atafuga ng'ombe mmoja mchanga na kondoo wawili; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Katika siku ile, mtu atahifadhi hai mtamba mmoja na kondoo wawili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Katika siku ile, mtu atahifadhi hai ndama mmoja na kondoo wawili. Tazama sura |