Isaya 66:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kwa maana BWANA atatoa hukumu kwa watu wote kwa moto, na kwa upanga wake, nao watakaouawa na BWANA watakuwa wengi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu atatoa hukumu kwa moto, atawaadhibu watu wote kwa upanga; nao atakaowaangamiza watakuwa wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu atatoa hukumu kwa moto, atawaadhibu watu wote kwa upanga; nao atakaowaangamiza watakuwa wengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu atatoa hukumu kwa moto, atawaadhibu watu wote kwa upanga; nao atakaowaangamiza watakuwa wengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake Mwenyezi Mungu atatekeleza hukumu juu ya watu wote, nao wengi watakuwa ni wale waliouawa na Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake bwana atatekeleza hukumu juu ya watu wote, nao wengi watakuwa ni wale waliouawa na bwana. Tazama sura |