Isaya 65:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Nami nitaleta uzao toka Yakobo, na mrithi wa milima yangu toka Yuda, na mteule wangu atairithi, na watumishi wangu watakaa huko. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Nitawajalia watu wa Yakobo, na Yuda nitamjalia warithi wa milima yangu; watumishi wangu watakaa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, na kutoka kwa Yuda watakaomiliki milima yangu, nao watu wangu wateule watairithi, nako huko wataishi watumishi wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo, na kutoka kwa Yuda wale watakaomiliki milima yangu, nao watu wangu wateule watairithi, nako huko wataishi watumishi wangu. Tazama sura |