Isaya 64:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Utajizuia usiyaangalie mambo haya, Ee BWANA? Utanyamaza, na kutuadhibu vikali? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Je, kwa hayo yote utajizuia usifanye kitu? Je, utaendelea kunyamaza tu, ee Mwenyezi-Mungu, na kututesa kupita kiasi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Ee Mwenyezi Mungu, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza, na kutuadhibu kupita kiasi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Ee bwana, baada ya haya yote, utajizuia? Je, utanyamaza kimya na kutuadhibu kupita kiasi? Tazama sura |