Isaya 63:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Nikayakanyaga makabila ya watu kwa hasira yangu, Nikawalevya kwa ghadhabu yangu, Nami nikaimwaga damu yao chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa hasira yangu niliwaponda watu, niliwalewesha kwa ghadhabu yangu; damu yao niliimwaga chini ardhini.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, katika ghadhabu yangu niliwalewesha, na kumwaga damu yao juu ya ardhi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu, katika ghadhabu yangu niliwalewesha, na kumwaga damu yao juu ya ardhi.” Tazama sura |