Isaya 63:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Lakini wakaasi, wakamhuzunisha Roho yake Mtakatifu; kwa hiyo akawageukia, akawa adui, akapigana nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini wao walikuwa wakaidi, wakaihuzunisha roho yake takatifu. Basi, Mungu akageuka, akawa adui yao; yeye mwenyewe akapigana nao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Lakini waliasi, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wa Mungu. Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Lakini waliasi, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu wa Mwenyezi Mungu. Hivyo aligeuka na kuwa adui yao, na yeye mwenyewe akapigana dhidi yao. Tazama sura |
Na hao wa kwenu watakaookoka watanikumbuka kati ya mataifa, watakakochukuliwa mateka, jinsi nilivyoiponda mioyo yao ya kikahaba, iliyoniacha, na macho yao, yaendayo kufanya uasherati na vinyago vyao; nao watajichukia nafsi zao machoni pao wenyewe, kwa sababu ya mabaya yao yote, waliyoyatenda kwa machukizo yao yote.