Isaya 62:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Lakini walioivuna, ndio watakaoila, na kumhimidi BWANA; na walioichuma, ndio watakaoinywa, ndani ya nyua za patakatifu pangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Bali nyinyi mliyoivuna nafaka hiyo, mtaila na kunitukuza mimi Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mliochuma zabibu hizo, mtakunywa divai yake katika nyua zangu takatifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Bali nyinyi mliyoivuna nafaka hiyo, mtaila na kunitukuza mimi Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mliochuma zabibu hizo, mtakunywa divai yake katika nyua zangu takatifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Bali nyinyi mliyoivuna nafaka hiyo, mtaila na kunitukuza mimi Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mliochuma zabibu hizo, mtakunywa divai yake katika nyua zangu takatifu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 lakini wale waivunao nafaka wataila na kumsifu Mwenyezi Mungu, nao wale wakusanyao zabibu watainywa divai yake katika nyua za patakatifu pangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 lakini wale waivunao nafaka wataila na kumsifu bwana, nao wale wakusanyao zabibu watainywa divai yake katika nyua za patakatifu pangu.” Tazama sura |