Isaya 62:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Nawe utakuwa taji la uzuri katika mkono wa BWANA, na kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utakuwa taji zuri mkononi mwa Mwenyezi-Mungu; kilemba cha kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Utakuwa taji la fahari mkononi mwa Mwenyezi Mungu, taji la kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa bwana, taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. Tazama sura |