Isaya 61:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana mimi, BWANA, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wizi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Mimi Mwenyezi-Mungu napenda haki; nachukia unyanganyi na uhalifu. Nitawatuza watu wangu kwa uaminifu, nitafanya nao agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Mimi Mwenyezi-Mungu napenda haki; nachukia unyanganyi na uhalifu. Nitawatuza watu wangu kwa uaminifu, nitafanya nao agano la milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Mimi Mwenyezi-Mungu napenda haki; nachukia unyang'anyi na uhalifu. Nitawatuza watu wangu kwa uaminifu, nitafanya nao agano la milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Kwa maana Mimi, Mwenyezi Mungu, napenda haki, na ninachukia unyang’anyi na uovu. Katika uaminifu wangu nitawapa malipo yao na kufanya agano la milele nao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Kwa maana Mimi, bwana, napenda haki, na ninachukia unyang’anyi na uovu. Katika uaminifu wangu nitawapa malipo yao na kufanya agano la milele nao. Tazama sura |