Isaya 60:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Maana, tazama, giza litaifunika dunia, Na giza kuu litazifunika makabila ya watu; Bali BWANA atakuzukia wewe, Na utukufu wake utaonekana juu yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Tazama, giza litaifunika dunia, giza nene litayafunika mataifa; lakini wewe, Mwenyezi-Mungu atakuangazia, utukufu wake utaonekana kwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Tazama, giza litaifunika dunia, na giza nene litayafunika mataifa, lakini Mwenyezi Mungu atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Tazama, giza litaifunika dunia na giza kuu litayafunika mataifa, lakini bwana atazuka juu yako na utukufu wake utaonekana juu yako. Tazama sura |