Isaya 6:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 hadi BWANA atakapowahamisha watu waende mbali sana, na mahame yatakapokuwa mengi ndani ya nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Nami Mwenyezi-Mungu nitawapeleka watu mbali, na kuifanya nchi yote kuwa mahame. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 hadi Mwenyezi Mungu atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 hadi bwana atakapokuwa amekwisha kumpeleka kila mmoja mbali sana, na nchi itakapokuwa imeachwa kabisa. Tazama sura |