Isaya 59:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Naam, kweli imepunguka kabisa, na yeye auachaye uovu ajifanya kuwa mateka; naye BWANA akaona hayo, akachukizwa kwa kuwa hapana hukumu ya haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Ukweli umekosekana, naye anayeacha uovu hunyanyaswa. Mungu aliona mambo hayo, akachukizwa, alichukizwa kwamba hakuna haki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kweli haipatikani popote, na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. Mwenyezi Mungu alitazama, naye akachukizwa kwamba hapakuwa na haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kweli haipatikani popote, na yeyote aepukaye uovu huwa mawindo. bwana alitazama naye akachukizwa kwamba hapakuwepo haki. Tazama sura |