Isaya 59:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Na hukumu imegeuka ikaenda nyuma, na haki inasimama mbali sana; maana kweli imeanguka katika njia kuu, na unyofu hauwezi kuingia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Haki imewekwa kando, uadilifu uko mbali; ukweli unakanyagwa mahakamani, uaminifu haudiriki kuingia humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, nayo haki inasimama mbali, kweli imejikwaa njiani, uaminifu hauwezi kuingia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, nayo haki inasimama mbali, kweli imejikwaa njiani, uaminifu hauwezi kuingia. Tazama sura |