Isaya 58:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 na kama ukimpa mtu mwenye njaa chakula chako, na kuishibisha nafsi iliyoteswa; ndipo nuru yako itakapopambazuka gizani; na kiwi chako kitakuwa kama adhuhuri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 mkiwapa chakula kwa ukarimu wenye njaa, mkitosheleza mahitaji ya wenye dhiki, mwanga utawaangazia nyakati za giza, giza lenu litakuwa kama mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 mkiwapa chakula kwa ukarimu wenye njaa, mkitosheleza mahitaji ya wenye dhiki, mwanga utawaangazia nyakati za giza, giza lenu litakuwa kama mchana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 mkiwapa chakula kwa ukarimu wenye njaa, mkitosheleza mahitaji ya wenye dhiki, mwanga utawaangazia nyakati za giza, giza lenu litakuwa kama mchana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 nanyi mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu na kutosheleza mahitaji ya waliodhulumiwa, ndipo nuru yenu itang’aa gizani, nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 nanyi kama mkimkunjulia mtu mwenye njaa nafsi zenu na kutosheleza mahitaji ya walioonewa, ndipo nuru yenu itakapong’aa gizani, nao usiku wenu utakuwa kama adhuhuri. Tazama sura |