Isaya 57:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Lakini ninyi karibuni hapa, enyi wana wa mwanamke mchawi, uzao wa mzinzi na kahaba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Njoni hapa nyinyi wana wa wachawi; nyinyi wazawa wa wachawi, wazinzi na malaya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Njoni hapa nyinyi wana wa wachawi; nyinyi wazawa wa wachawi, wazinzi na malaya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Njoni hapa nyinyi wana wa wachawi; nyinyi wazawa wa wachawi, wazinzi na malaya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 “Lakini ninyi: Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 “Lakini ninyi: Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! Tazama sura |