Isaya 57:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mimi nayaumba matunda ya midomo; Amani, amani, kwake yeye aliye mbali, na kwake yeye aliye karibu; asema BWANA; nami nitamponya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mimi nitawapa amani, amani kwa walio mbali na walio karibu! Mimi nitawaponya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema Mwenyezi Mungu. “Nami nitawaponya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 nikiumba sifa midomoni ya waombolezaji katika Israeli. Amani, amani, kwa wale walio mbali na kwa wale walio karibu,” asema bwana. “Nami nitawaponya.” Tazama sura |