Isaya 57:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Mimi nitatangaza haki yako, na matendo yako hayatakufaa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mnafikiri mnafanya sawa, lakini nitayafichua matendo yenu, nayo miungu yenu haitawafaa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mnafikiri mnafanya sawa, lakini nitayafichua matendo yenu, nayo miungu yenu haitawafaa kitu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mnafikiri mnafanya sawa, lakini nitayafichua matendo yenu, nayo miungu yenu haitawafaa kitu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nitaifunua haki yako na matendo yako, nayo hayatakufaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nitaifunua haki yako na matendo yako, nayo hayatakufaidi. Tazama sura |