Isaya 56:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Wala mgeni, aambatanaye na BWANA, asiseme hivi, Hakika yake BWANA atanitenga na watu wake; wala towashi asiseme, Mimi ni mti mkavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 “Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 “Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 “Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri: ‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’ Naye towashi asiseme: ‘Mimi ni mti mkavu tu!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Usimwache mgeni aambatanaye na Mwenyezi Mungu aseme, “Hakika Mwenyezi Mungu atanitenga na watu wake.” Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, “Mimi ni mti mkavu tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Usimwache mgeni aambatanaye na bwana aseme, “Hakika bwana atanitenga na watu wake.” Usimwache towashi yeyote alalamike akisema, “Mimi ni mti mkavu tu.” Tazama sura |