Isaya 55:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Tazama, utaita taifa usilolijua, na taifa lisilokujua wewe litakukimbilia, kwa sababu ya BWANA, Mungu wako, na kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli; maana amekutukuza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Sasa utayaita mataifa usiyoyajua, watu wa mataifa yasiyokutambua watakujia mbio, kwa sababu yangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; kwa sababu yangu mimi Mtakatifu wa Israeli niliyekufanya wewe utukuke.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sasa utayaita mataifa usiyoyajua, watu wa mataifa yasiyokutambua watakujia mbio, kwa sababu yangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; kwa sababu yangu mimi Mtakatifu wa Israeli niliyekufanya wewe utukuke.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sasa utayaita mataifa usiyoyajua, watu wa mataifa yasiyokutambua watakujia mbio, kwa sababu yangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; kwa sababu yangu mimi Mtakatifu wa Israeli niliyekufanya wewe utukuke.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Hakika utaita mataifa usiyoyajua, nayo mataifa yale yasiyokujua yataharakisha kukujia, kwa sababu ya Mwenyezi Mungu, Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, kwa maana amekutukuza.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hakika utaita mataifa usiyoyajua, nayo mataifa yale yasiyokujua yataharakisha kukujia, kwa sababu ya bwana Mwenyezi Mungu wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, kwa maana amekutukuza.” Tazama sura |