Isaya 54:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Tazama, hakika ikiwa utashambuliwa na yeyote, haitakuwa kwa shauri langu. Yeyote atakayekushambulia ataanguka kwa ajili yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. Yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. Yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Mtu yeyote akija kukushambulia, hatakuwa ametumwa nami. yeyote atakayekushambulia, ataangamia mbele yako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Kama mtu yeyote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; yeyote akushambuliaye atajisalimisha kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Kama mtu yeyote akikushambulia, haitakuwa kwa ruhusa yangu; yeyote akushambuliaye atajisalimisha kwako. Tazama sura |