Isaya 52:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Pigeni kelele za furaha, imbeni pamoja, Enyi mahali pa Yerusalemu palipokuwa ukiwa; Kwa kuwa BWANA amewafariji watu wake, Ameukomboa Yerusalemu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Pazeni sauti za shangwe, enyi magofu ya Yerusalemu! Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, ameukomboa mji wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Pazeni sauti za shangwe, enyi magofu ya Yerusalemu! Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, ameukomboa mji wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Pazeni sauti za shangwe, enyi magofu ya Yerusalemu! Mwenyezi-Mungu amewafariji watu wake, ameukomboa mji wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja, enyi magofu ya Yerusalemu, kwa maana Mwenyezi Mungu amewafariji watu wake, ameikomboa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja, enyi magofu ya Yerusalemu, kwa maana bwana amewafariji watu wake, ameikomboa Yerusalemu. Tazama sura |