Isaya 52:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 BWANA ameweka wazi mkono wake mtakatifu Machoni pa mataifa yote; Na ncha zote za dunia Zitauona wokovu wa Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu ameonesha nguvu yake tukufu, mbele ya mataifa yote. Atawaokoa watu wake, na ulimwengu wote utashuhudia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu ameonesha nguvu yake tukufu, mbele ya mataifa yote. Atawaokoa watu wake, na ulimwengu wote utashuhudia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu ameonesha nguvu yake tukufu, mbele ya mataifa yote. Atawaokoa watu wake, na ulimwengu wote utashuhudia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mkono mtakatifu wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa machoni pa mataifa yote, nayo miisho yote ya dunia itaona wokovu wa Mungu wetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mkono mtakatifu wa bwana umefunuliwa machoni pa mataifa yote, nayo miisho yote ya dunia itaona wokovu wa Mungu wetu. Tazama sura |