Isaya 51:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mambo haya mawili yamekupata; Ni nani awezaye kukusikitikia? Ukiwa na uharibifu, na njaa na upanga; Niwezeje kukutuliza? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Majanga haya mawili yamekupata: Uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Majanga haya mawili yamekupata: Uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Majanga haya mawili yamekupata: uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji. Nani atakayekuonea huruma? Nani atakayekufariji? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Majanga haya mawili yamekuja juu yako: ni nani awezaye kukufariji? Maangamizi, uharibifu, njaa na upanga: ni nani awezaye kukutuliza? Tazama sura |