Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Isaya 51:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

15 Maana mimi ni BWANA, Mungu wako, niichafuaye bahari, mawimbi yake yakavuma.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mimi ni Mwenyezi-Mungu, Mungu wako; nivurugaye bahari, mawimbi yake yakanguruma; Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ndilo jina langu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Kwa maana Mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni ndilo jina lake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Kwa maana Mimi ndimi bwana, Mungu wako, ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume: bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.

Tazama sura Nakili




Isaya 51:15
16 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe uliipasua bahari mbele yao, hata wakapita katikati ya bahari katika nchi kavu; na wale waliokuwa wakiwafuatia ukawatupa vilindini, kama jiwe katika maji makuu.


Huichafua bahari kwa uwezo wake, Na kumtema Rahabu kwa akili zake.


Maana alisema, akavumisha upepo wa dhoruba, Ukayainua juu mawimbi ya bahari.


Yeye aliyeigawa Bahari ya Shamu; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Wewe umeipasua bahari kwa nguvu zako, Umevivunja vichwa vya nyangumi juu ya maji.


nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwakomboaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.


Mkombozi wetu, BWANA wa majeshi ndilo jina lake, Mtakatifu wa Israeli.


Maana hujiita wenyeji wa mji mtakatifu, hujitegemeza juu ya Mungu wa Israeli; BWANA wa majeshi ni jina lake.


Si wewe uliyemkatakata Rahabu? Uliyemchoma yule joka? Si wewe uliyeikausha bahari, Na maji ya vilindi vikuu; Uliyevifanya vilindi kuwa njia, Ili wapite watu waliokombolewa?


Kwa sababu Muumba wako ni mume wako; BWANA wa majeshi ndilo jina lake; na Mtakatifu wa Israeli ndiye Mkombozi wako; Yeye ataitwa Mungu wa dunia yote.


Yeye, Fungu la Yakobo, siye kama hawa; Maana ndiye aliyeviumba vitu vyote; Na Israeli ni kabila la urithi wake; BWANA wa majeshi ndilo jina lake.


BWANA asema hivi, awapaye watu jua, ili kuwa nuru wakati wa mchana, na amri za mwezi na nyota, ili kuwa nuru wakati wa usiku, aichafuaye bahari, hata mawimbi yake yakavuma; BWANA wa majeshi, ndilo jina lake;


Kwa maana Israeli, wala Yuda, hakuachwa na Mungu wake, BWANA wa majeshi; ijapokuwa nchi yao imejaa hatia juu yake aliye Mtakatifu wa Israeli.


Kwa kuwa mimi ni BWANA, Mungu wenu; takaseni nafsi zenu basi; iweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu; wala msitie uchafu nafsi zenu kwa kitu kitambaacho cha aina yoyote, kiendacho juu ya nchi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo