Isaya 5:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Ole wao wavutao uovu kwa kamba za ubatili, na dhambi kama kwa kamba za gari! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ole wao wanaoburuta uovu kama kwa kamba; wanaokokota dhambi kama kwa kamba za mkokoteni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, Tazama sura |