Isaya 5:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 bali BWANA wa majeshi ametukuzwa katika hukumu, na Mungu aliye Mtakatifu ametakaswa katika haki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Lakini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atatukuzwa. Yeye huonesha ukuu wake kwa matendo yake ya haki, kwa kuwahukumu watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Lakini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atatukuzwa. Yeye huonesha ukuu wake kwa matendo yake ya haki, kwa kuwahukumu watu wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Lakini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atatukuzwa. Yeye huonesha ukuu wake kwa matendo yake ya haki, kwa kuwahukumu watu wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Lakini Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni atatukuzwa kwa ajili ya haki yake, naye Mungu Mtakatifu atajionesha mwenyewe kuwa mtakatifu kwa haki yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Lakini bwana Mwenye Nguvu Zote atatukuzwa kwa ajili ya haki yake, naye Mungu Mtakatifu atajionyesha mwenyewe kuwa mtakatifu kwa haki yake. Tazama sura |