Isaya 49:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Watoto wako wafanya haraka, hao wakuharibuo, nao waliokufanya ukiwa, watatoka kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Watakaokujenga upya wanakuja haraka, wale waliokuharibu wanaondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Watakaokujenga upya wanakuja haraka, wale waliokuharibu wanaondoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Watakaokujenga upya wanakuja haraka, wale waliokuharibu wanaondoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wana wako wanaharakisha kurudi, nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wana wako wanaharakisha kurudi, nao wale waliokuteka wanaondoka kwako. Tazama sura |