Isaya 49:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Tazama, nimekuchora katika vitanga vya mikono yangu; kuta zako ziko mbele zangu daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Nimekuchora katika viganja vyangu; kuta zako naziona daima mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Nimekuchora katika viganja vyangu; kuta zako naziona daima mbele yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Nimekuchora katika viganja vyangu; kuta zako naziona daima mbele yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Tazama, nimekuchora kama muhuri katika vitanga vya mikono yangu, kuta zako zi mbele yangu daima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Tazama, nimekuchora kama muhuri katika vitanga vya mikono yangu, kuta zako zi mbele yangu daima. Tazama sura |