Isaya 48:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Laiti ungalisikiliza amri zangu! Ndipo amani yako ingalikuwa kama mto wa maji, na haki yako kama mawimbi ya bahari; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Laiti ungalizitii amri zangu! Hapo baraka zingekutiririkia kama mto, ungepata fanaka kwa wingi kama mawimbi ya bahari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, amani yako ingekuwa kama mto, haki yako kama mawimbi ya bahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Laiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu, amani yako ingekuwa kama mto, haki yako kama mawimbi ya bahari. Tazama sura |