Isaya 47:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Maana umeutumainia ubaya wako; umesema, Hapana anionaye; hekima yako, na maarifa yako yamekupotosha, nawe umesema moyoni mwako, Mimi ndiye, wala hapana mwingine zaidi yangu mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 “Ulijiona salama katika uovu wako; ukajisemea, ‘Hakuna mtu anayeniona.’ Hekima na elimu yako vilikupotosha, ukajisemea moyoni mwako, ‘Mimi ndiye; hakuna mwingine anayenishinda.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Umeutegemea uovu wako, nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza unapojiambia mwenyewe, ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Umeutegemea uovu wako, nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza unapojiambia mwenyewe, ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ Tazama sura |