Isaya 46:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Kumbukeni haya, mkajioneshe kuwa wanaume; jifahamisheni haya, ninyi mkosao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 “Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 “Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 “Kumbukeni jambo hili na kutafakari, liwazeni akilini mwenu enyi wakosefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 “Kumbukeni hili, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 “Kumbukeni hili, litieni akilini, liwekeni moyoni, enyi waasi. Tazama sura |