Isaya 46:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Nisikilizeni, ninyi mlio na moyo mshupavu, mlio mbali na haki; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 “Nisikilizeni, enyi wenye vichwa vigumu, nisikilizeni enyi mlio mbali na ukombozi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 “Nisikilizeni, enyi wenye vichwa vigumu, nisikilizeni enyi mlio mbali na ukombozi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 “Nisikilizeni, enyi wenye vichwa vigumu, nisikilizeni enyi mlio mbali na ukombozi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Nisikilizeni, ninyi wenye mioyo migumu, ninyi mlio mbali na haki. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Nisikilizeni, ninyi wenye mioyo migumu, ninyi mlio mbali na haki. Tazama sura |