Isaya 45:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Watatahayarika, naam, watafadhaika, wote pia; wale watengenezao sanamu wataingia fadhaa pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Watengenezaji sanamu wataaibika na kufadhaika, wote kwa pamoja watavurugika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; wataenda kutahayarika pamoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Wote watengenezao sanamu wataaibika na kutahayarika; wataenda kutahayarika pamoja. Tazama sura |