Isaya 44:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 nao watachipua kama nyasi, kama mierebi kandokando mwa vijito. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Watachipua kama nyasi penye maji mengi, kama majani kandokando ya vijito. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nao watachipua kama nyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yanayotiririka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nao watachipua kama manyasi katika shamba la majani, kama mierezi kando ya vijito vya maji yatiririkayo. Tazama sura |