Isaya 43:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Kila mmoja aliyeitwa kwa jina langu, niliyemwumba kwa ajili ya utukufu wangu; mimi nimemwumba, naam, mimi nimemfanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kila mmoja hujulikana kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kila mmoja hujulikana kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kila mmoja hujulikana kwa jina langu, niliwaumba wote na kuwafanya kwa ajili ya utukufu wangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu, niliyemuumba kwa utukufu wangu, niliyemhuluku na kumfanya.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu, niliyemuumba kwa utukufu wangu, niliyemhuluku na kumfanya.” Tazama sura |