Isaya 42:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 BWANA akapendezwa, kwa ajili ya haki yake, kuitukuza sheria, na kuiadhimisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya uaminifu wake, alipenda kukuza mwongozo wake na kuutukuza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ilimpendeza Mwenyezi Mungu kwa ajili ya haki yake kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ilimpendeza bwana kwa ajili ya haki yake kufanya sheria yake kuwa kuu na tukufu. Tazama sura |