Isaya 42:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Hatalia, wala hatapaza sauti yake, wala kuifanya isikiwe katika njia kuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Hatalia wala hatapiga kelele, wala hatapaza sauti yake barabarani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataipaza sauti yake barabarani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Hatapaza sauti wala kupiga kelele, wala hataiinua sauti yake barabarani. Tazama sura |