Isaya 42:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Mwimbieni BWANA wimbo mpya, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: Bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: Bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwimbieni Mwenyezi-Mungu wimbo mpya! Dunia yote iimbe sifa zake: bahari na vyote vilivyomo, nchi za mbali na wakazi wake; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwimbieni Mwenyezi Mungu wimbo mpya, sifa zake toka miisho ya dunia, ninyi mshukao chini baharini, na vyote vilivyomo, enyi visiwa na wote wanaoishi humo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mwimbieni bwana wimbo mpya, sifa zake toka miisho ya dunia, ninyi mshukao chini baharini, na vyote vilivyomo ndani yake, enyi visiwa na wote wakaao ndani yake. Tazama sura |