Isaya 41:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Mimi kwanza nitauambia Sayuni, Tazama; hawa ndio; nami nitampa Yerusalemu mletaji wa habari njema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mimi ni yule wa kwanza, niliyetangaza kwa Siyoni, nikapeleka Yerusalemu mjumbe wa habari njema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, ‘Tazama, wako hapa!’ Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni, ‘Tazama, wako hapa!’ Nilimpa Yerusalemu mjumbe wa habari njema. Tazama sura |