Isaya 41:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Maskini na wahitaji wanatafuta maji, wala hapana; ndimi zao zimekauka kwa kiu; mimi, BWANA, nitawasikia, mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 “Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 “Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 “Maskini na fukara wakitafuta maji wasipate, wakiwa wamekauka koo kwa kiu, mimi Mwenyezi-Mungu nitawajibu; mimi Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 “Maskini na wahitaji wanatafuta maji, lakini hayapo, ndimi zao zimekauka kwa kiu. Lakini Mimi Mwenyezi Mungu nitawajibu, Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 “Maskini na wahitaji wanatafuta maji, lakini hayapo, ndimi zao zimekauka kwa kiu. Lakini Mimi bwana nitawajibu, Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. Tazama sura |