Isaya 40:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na vijana wanaume wataanguka; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Hata vijana watafifia na kulegea; naam, wataanguka kwa uchovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka, Tazama sura |