Isaya 40:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Mtanifananisha na nani, basi, nipate kuwa sawa naye? Asema yeye aliye Mtakatifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Mungu Mtakatifu auliza hivi: “Nani basi, mtakayemlinganisha nami? Je, kuna mtu aliye kama mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Mungu Mtakatifu auliza hivi: “Nani basi, mtakayemlinganisha nami? Je, kuna mtu aliye kama mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Mungu Mtakatifu auliza hivi: “Nani basi, mtakayemlinganisha nami? Je, kuna mtu aliye kama mimi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 “Utanilinganisha mimi na nani? Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 “Utanilinganisha mimi na nani? Au ni nani anayelingana nami?” asema yeye Aliye Mtakatifu. Tazama sura |